Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 16, 2014

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014.
Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare (kulia) akizungumza na Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona, bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dr.Asha-Rose Migiro akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara yake bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, bungeni mjini Dodoma Mei 15, 2014. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...