Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 6, 2014

LAURY MNJEJA APATA KIPAIMARA

 Lauryn Mnjeja wakati wa sherehe ya kumpongeza baada ya kupata kipaimara kwenye Kanisa la KKKT), Kivule, Dar es Salaam.sherehe ya kumpongeza iliyofanyika ukumbi wa Bwalo B, Air Wing.Kushoto ni mpambe wake Habiba Mohammed.
 ;Lauryn Mnjeja akiwapungia wageni mbalimbali waliojitokeza kwenye sherehe ya kumpongeza baada ya kupata kipaimara kwenye Kanisa la KKKT), Kivule, Dar es Salaam.sherehe ya kumpongeza iliyofanyika ukumbi wa Bwalo B, Air Wing.Kushoto ni mpambe wake Habiba Mohammed.
Lauryn Mnjeja akiwa na wazazi wake pamoja na wadogo zake.

Lauryn Mnjeja akimlisha keki mdogo wake Nancy Baraka, huku Habiba Mohammed akishuhuhia wakati wa sherehe ya kumpongeza kwa kupata kipaimara kwenye kanisa la KKKT, Kivule Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Sherehe ilifanyika ukumbi wa bwalo B Air Wing Ukonga, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...