Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 12, 2015

IKOTA APANIA KUJUA MCHEZO WA MASUMBWI KWA KUWA UPO KATIKA DAMU YAKE

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kurusha makonde bondia Zainabu 'Ikota' Mhamila ambaye ni binti yake anaependa ngumi kwa ajili ya kujiweka fiti katika mazoezi picha na SUPER D BOXING NEWS

 Bondia Zainabu Ikota Mhamila kushoto akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na baba yake mzazi wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA  NA RAJABU MHAMILA  SUPER D

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na binti yake baada ya mazoezi
BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA ZAIDI YA TANI KUMI ZA DAWA NA VYAKULA unnamed1rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja. unnamed2rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja. unnamed3r KIJIKO kikiangamiza dawa, vyakula na vipodozi mbali mbali vilivyopitwa na muda wake wa matumizi pamoja na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu, Bodi ya Chakula , dawa na vipodozi Zanzibar (ZFDB)iliangamiza vitu hivyo zaidi ya tani 10 katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein).

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...