Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 16, 2015

BOMOA BOMOA KURASINI LEO JIJINI DAR ES SALAAM WANANCHI KUTAHARUKI


Dereva wa  Katapila akibomoa moja ya nyumba za Kurasini
Fatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo)  kwa hisia kali akilalamikia ubomoaji wa makazi yao
Mwenyekiti wa Serikaili za Mtaa Shimo la Udonge Jijini Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari
Mkazi wa Kurasini Jijini Dar es Salaam Bi Nyakomba Selemani akiwa mbele ya gofu la nyumba yake akionyesha Stop Oda lakini imebomolewa 
Wahanga wakijaribu kupakia vitu katika gari tayari kwakwenda kutafuta hifadhi
Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu
Wahanga na vyombo vyao
Anayedaiwa kuwa ni Askari kanzu wapili kulia akipandishwa Gari  akihusishwa kuwatupia mawe Mgambo ambapo alisikika akisema mimi nilikuwa nikiwapa muongozo.

Mkazi wa Kurasini  akijaribu kuokoa mbao za gofu hilo baada ya kubomolea
Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu akiwa amejiinamia baada ya kunaswa kidao usoni akiwa amevishwa pingu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...