Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 26, 2016

SOMO KWA WENYE MATATIZO YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME



DAWA YA NGUVU


kasi huku wengi wakiwa hawajui nini la kufanya.
Kati ya wale ambao wanasumbuliwa na tatizo hilo
ni vijana, hali inayofanya baadhi yao kubaki katika
kitendawili wakijiuliza nini hasa kinasababisha
wanakuwa katika hali hiyo.
Kuna kesi nyingi za wanaume kukimbiwa, sababu
mojawapo ni baadhi yao kutokuwa na uwezo
ambao mwanaume anapaswa kuwa nao, yaani
kuwa imara. Wapo ambao kwa sababu ya tatizo
hili, wamejikuta wanalazimika hata kujiua au
kuchukua hatua yoyote mbaya.Lakini ukweli ni
kuwa msingi wa maisha yenye mafanikio si kujiua
wala si kujilaumu kwa kusumbuliwa na tatizo
fulani, bali kuchukua hatua ili ulishinde tatizo hilo.
Tangu umezaliwa hadi leo umesumbuliwa na
matatizo mangapi? Bila shaka ni mengi, na suluhu
ya matatizo si kujiua, kujipa adhabu kwa kutokula
ama kujilaumu kwa kuzaliwa, bila shaka hayo
hayana msaada.
KWANINI KASI YA WANAUME KUWA NA TATIZO
HILI INAONGEZEKA?
Ziko sababu nyingi, lakini zilizo kuu ni hali ya
maisha, kwa maana ya mabadiliko makubwa ya
matumizi ya vyakula, kwa mfano zamani wengi
walikuwa wakitumia vitu vya asili, sasa wengi
wanatumia vyakula vya kiwandani ambavyo kwa
bahati mbaya baadhi yake havina ubora.Badala ya
kutumia juisi za kutengeneza kwa kutumia
maembe kutoka mashambani, wengi wananunua
juisi za viwandani ambazo baadhi yake ni
mchanganyiko wa rangi usio na faida yoyote katika
mwili.
Tatizo hili pia linatokana na ulaji usiofaa na
usiofuata misingi ya afya bora; wengi wanakula ili
tumbo limejaa, si wengi ambao wanaangalia
kwanza chakula kabla ya kula. Ukweli ni kwamba
kila chakula kina msaada wake, vingine vinasaidia
mafuta, vingine nguvu, chuma na kadhalika.Lakini
pia tafiti nyingi zinaonyesha kuwa wengi
wanaolalamikia kupungukiwa nguvu za kiume,
hawajui hasa sababu na nini wafanye. Lakini ukweli
ni kuwa baadhi yao wana tatizo hili kwa sababu
wenzi wao si wenye kuwasaidia, si wajuzi.
Ndio kusema kama mwanaume anasumbuliwa na
tatizo la nguvu za kiume, ni vizuri kuangalia
limeanza lini, na kwanini. Wakati fulani wanawake
kwa kauli zao zisizo za ushirikiano na matendo
yao, yaweza kuwa ni sababu mojawapo ya
kusababisha wanaume kutokuwa na nguvu katika
tendo.Maana utakuta wanawake wengine
wanawaambia waume zao “haya unataka, njoo
basi nataka kuwahi au hutaki niondoke”…kauli
kama hii haitii raha. Pia wengine hawana
ushirikiano, yuko tu kama hayuko.
Raha ya ndoa haiko hivi, ni lazima mshirikiane
vizuri, si ndio jamani? Raha ya ndoa ujuzi.Kwa
bahati mbaya baada ya ndoa, si wengi ambao
wanaendelea na ubunifu, tena kuna wengine
ukiwaambia leo twende na ubunifu wa aina hii
utasikia “eeeh weee unataka kunivunja kiuno
mwenzako, haya mambo ya vijana haya”. Je, hali
ya ndoa yako ikoje?
Mapenzi yanahitaji usafi, lakini wapi bwana kuna
mwingine ukiwa naye unaomba Mungu akuachie
haraka….ananuka, hakuna maandalizi, anakuvamia
bora hata kuku atacheza huku atacheza kule.
Kwa bahati mbaya zaidi kuna wengine wakiambiwa
ukweli utasikia wanasema kwa nyodo, aaah bwana
eeeh wafuate hao wanaojua!Ndugu yangu raha ya
ndoa mpate muda wa kucheza, kuzungumza
mazuri na kuonyeshana upendo wa dhati, ikiwa ni
pamoja na kutimiza mazuri mliyoahidiana wakati
mnaingia kwenye ndoa.
Sio wanaume wengi wenye sababu za kibaiolojia
zinazowafanya wakose nguvu za kiume, isipokuwa
wengi wao huwa na matatizo ya kisaikolojia zaidi
ambayo wahusika wanaweza kujiponya nayo bila
hata kutumia dawa za miti shamba.
Kuna sababu kadhaa za wanaume kuwa na tatizo
la nguvu za kiume kama vile matatizo ya
kisaikolojia, kuwahi kujichua, baadhi ya matatizo
ya magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu,
magonjwa ya zinaa, unene wa kupita kiasi, umri
mkubwa, ulevi, kuacha mazoezi na ulaji usiofaa.
Kimsingi ziko tiba za mchanganyiko wa vyakula,
lakini pia ili kuondoa tatizo wakati unaendelea na
tiba kama ambavyo nimewahi kuzitaja katika
matoleo kadhaa yaliyopita, unapaswa kufanya
mazoezi na kula vyakula, vinywaji vyenye nguvu ili
kujipa nguvu zaidi.
Pia kama mwanaume ameishi na mwanawake kwa
muda mrefu na amekuwa na desturi ya kufanya
mepenzi mara kwa mara katika mazingira yale
yale anaweza kukumbwa na kasoro hiyo.
kwa msaada wa kusovu tatizi lako


 

 DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA
WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA
NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA
WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA
INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR
ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA
BARABARA YA MSIMBAZI
ALLY WA YANGA BOMBA UHURU NA MSIMBAZI
0787230551 AU 0652755838
PIGA NO O713827689, 0755074505 , au 0719
541366
,0652755838 UHURU NA MSIMBAZI 0654581866/0785042203/ 0787406938 DAR ES
SALAAM
KARIAKOO SHULE YA UHURU STENDI YA MABASI
YA TANDIKA ULIZIA ZUNGU MUHUZA TIKETI
0712743870
NA UKIWA ILALA SHARIF SHAMBA FIKA DSJ
BANDA NAMBA 14 SIMU 0718718671
NA UKIWA KOTA ZA BANDARI KARIAKOO FIKA
MKUNGUNI KIBANDANI KWA HUSEIN 0753893295
MWANANYAMALA FIKA JABA KLABU ULIZA
MACHELLAH 0713470492

ENZOY INALETA HESHIMA
DAWA YA NGUVU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...